Usajili wa Rafiki/Marafiki wa Elimu
Jiunge na Harakati za Marafiki wa Elimu
Ukiwa Rafiki wa Elimu utawezeshwa kupata taarifa mbalimbali za Elimu. Utapata fursa kuungana na wanaharakati wa Elimu, kutoa maoni na tashwishi kwa viongozi mahususi wa Elimu. Pia, utapata fursa kubadilishana mawazo, matarajio, na uzoefu pamoja na kujifunza kutoka kwa watu wenye mlengo wa Elimu, hivyo kwa pamoja kuchochea haki ya kila mtoto kupata Elimu Bora ya Msingi. Tafadhali jaza taarifa zako kwenye Fomu hapo chini kwa ajili ya mawasiliano nasi.
Hakielimu
Our Coverage
We are spread across 26 regions, through media advocacy campaigns and Friends of Education Network, working directly with 127 schools (65 primary and 62 secondary schools) across 22 districts:
Muleba, Serengeti, Kigoma, Geita, Kilosa, Bariadi, Ukerewe, Tunduru, Masasi, Kilwa, Mkuranga, Moshi DC, Korogwe DC, Arusha DC, Njombe, Mbeya, Sumbawanga DC, Tabora, Mpwapwa, Iramba, Musoma, Babati.
Our Partners
If you are interested in supporting or patnering with us please contact ed@hakielimu.or.tz