skip to Main Content
+255754 354681 info@hakielimu.or.tz

Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti ya Elimu ya Afya ya Uzazi

Asasi ya Kiraia ya HakiElimu imezindua utafiti kuhusu Sera na Utekelezaji wa Elimu ya Afya ya Uzazi katika Shule za Msingi na Sekondari Tanzania Bara.

Utafiti huo ambao umefanyika jijini Dar es Salaam umeibua changamoto zilizopo katika uzingatiaji wa elimu ya afya katika mfumo wa elimumsingi na kutoa mapendekezo mbalimbali ya kutatua changamoto hizo.

Uzinduzi huo umehudhuriwa na wadau mbalimbali wa elimu nchini wakiongozwa na mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Elinami Sedoyeka.

Kupata nakala za ripoti ya utafiti huo ili kufahamu yaliyojitokeza bofya hapa kisha ungana nasi katika mijadala inayoendelea katika mitandao yetu ya kijamii. Kumbuka kuweka #Afyayao pale unapotoa maoni yako kuhusu utafiti huo. 

Back To Top