Pata habari zinazohusu elimu, taarifa zetu kwa vyombo vya habari na taarifa  za mabadiliko katika jamii ili uweze kufahamu kinachoendelea katika sekta ya elimu nchini na katika Asasi ya HakiElimu

Motisha kwa walimu yatajwa kama mbinu ya kuongeza ufaulu.

Motisha kwa walimu yatajwa kama mbinu ya kuongeza ufaulu.
Topics: new

Utafiti uliofanywa na Shirika la HakiElimu uliolenga kubaini sababu za baadhi ya mikoa kufanya vizuri mara kwa mara katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi huku baadhi ya mikoa ikifanya vibaya mara kwa mara umetaja mbinu ya kutoa motisha kwa fedha kwa walimu ambao wanafunzi wao wamepata alama ‘A’

katika mitihani ya darasa la saba ni moja ya mambo yanayochangia ufaulu. Ripoti kamili ya utafiti huo inapatikana kupitia uzi ufuatao https://bit.ly/2tGoo2A


Print   Email