Pata habari zinazohusu elimu, taarifa zetu kwa vyombo vya habari na taarifa  za mabadiliko katika jamii ili uweze kufahamu kinachoendelea katika sekta ya elimu nchini na katika Asasi ya HakiElimu

Idadi nzuri ya walimu ni siri ya ufaulu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi.

Idadi nzuri ya walimu ni siri ya ufaulu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi.
Topics: mynew

Utafiti uliofanywa na Azaki ya Kiraia ya HakiElimu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam umetaja uwepo wa walimu wa kutosha katika shule ni moja ya ya mambo yanayochangia ufaulu mzuri katika mitihani.

Ripoti ya tafiti hiyo imeeleza kuwa Idadi ya Walimu inapokuwa kubwa basi mzigo wa kazi unapungua na walimu wanafanya kazi vizuri zaidi. Tafiti hiyo ililenga kufahamu mambo yanayochangia baadhi ya wilaya na mikoa kufaulu vizuri mara kwa mara katika mitihani ya kumaliza darasa la saba huku mikoa mingine ikifanya vibaya mara kwa mara,


Print   Email