A Good Start

File Name: MWANZO MZURI.pdf
File Size: 3.79 MB
File Type: application/pdf
Hits: 368 Hits
Created Date: 02-06-2020
Last Updated Date: 02-06-2020

Related documents

Primary School and Money
Primary School and Money

As part of its Povert Reduction Strategy(PRS) and the Primary Education Development Plan(PEDP),the government got rid of all compulsory monetary contributions at primary school level in January 2002.Many people still do not know this;HakiElimu printed this infosheet in an effort to address this.

Majukumu ya Wanafunzi Katika Utawala wa Shule
Majukumu ya Wanafunzi Katika Utawala wa Shule

Baadhi ya watu wanafikiri kwamba watoto wanatakiwa kuwepo shuleni kwa ajili ya masomo tu na hawapaswi kushiriki katika utawala.Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM) unatambua umuhimu wa wanafunzi kushiriki katika utawala wa shule kupitia Baraza la Wafanyakazi na Baraza la Shule.Chapisho hili linaeleza wanafunzi wanachotakiwa kufanya katika utawala wa shule.

What is a School Committee?
What is a School Committee?
In this publication,HakiElimu explains what a school committee is and its responsibilities.
Shule za Msingi na Fedha
Shule za Msingi na Fedha

Kwa mujibu wa Mkakati wa Kuondoa Umaskini na kukuza Uchumi Tanzania(MKUKUTA) na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM),Serikali imefuta michango yote ya lazima kwa shule za msingi tangu Januari 2002.Wananchi wengi bado hawajui hili;HakiElimu ilichapisha waraka huu kama namna ya kusambaza taarifa hizi.

What is PEDP?
What is PEDP?
This inforsheet was printed by HakiElimu to explain in a simple language what PEDP,the Primary Education Development Plan,was about.
MMEM ni nini?
MMEM ni nini?

Shirika la Hakielimu lilichapisha 'MMEM ni nini?'kuelezea kwa lugha rahisi madhumuni ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM),ambayo ni program ya Serikali ya kuboresha elimu ya msingi kwa watoto wote nchini.