Je Walimu Wetu Wana Sifa na Hamasa

Je Walimu Wetu Wana Sifa na Hamasa

Utoaji wa elimu bora ni jambo muhimu katika kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa hakika, waandishi wengi wanaona kuwa elimu bora ndiyo njia yenye ufanisi zaidi katika kujenga maadili, mitazamo, tabia na maarifa muhimu kwa watu binafsi ili waweze kutumika kwa manufaa katika jamii iliyotangamana. Kikao cha tatu cha Mkutano Mkuu wa 61 wa Umoja wa Mataifa (GA/SHC/3847) kilisisitiza umuhimu wa elimu bora katika kuleta maendeleo ya jamii, kikitaja kwamba elimu bora ni jambo muhimu sana katika kuleta demokrasia ya kweli na ajira ya kweli. Hali kadhalika, Dira ya Maendeleo ya Taifa (2025) inataja kwamba elimu bora ni muhimu ikiwa taifa litakubali kikamilifu kupambana na changamoto za maendeleo zinazolikabili.

File Name: Je Walimu Wetu Wana SIfa za Kufundisha na Hamasa.pdf
File Size: 1.4 MB
File Type: application/pdf
Hits: 21 Hits
Created Date: 02-07-2020
Last Updated Date: 02-07-2020

Related documents

Ubora wa Mazingira ya Ufundishaji na Ufundishwaji Mashuleni
Ubora wa Mazingira ya Ufundishaji na Ufundishwaji Mashuleni

Utafiti huu uliangalia nyanja mbalimbali zinazoweza kuchangia kuboresha au kudidimiza hali ya maisha na kazi ya walimu.Hii ilikuwa ni pamoja na:mzigo wa kazi ya ufundishaji,uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu mmoja,maendeleo ya walimu kataaluma,athari za UKIMWI katika kufundisha na kujifunza,maisha ya walimu pamoja na maslahi ya walimu.Chapisho hili linachambua matokeo ya utafiti huu.

Ahadi za Serikali Kuhusu Elimu 2016/17
Ahadi za Serikali Kuhusu Elimu 2016/17

Pamoja na kuwa nchi yetu imepita katika awamu 5 za utawala wa kisiasa bado changamoto katika sekta ya elimu ni nyingi. Hali ya watoto kutojua kusoma na kuandika nchini,matokeo yasiyoridhisha katika mitihani ya darasa la saba na kidato cha nne na walimu kukosa hamasa ya ufundishaji, ni baadhiya ishara za kutokuwa na mazingira bora ya utoaji wa elimu nchini na kutotimizwa kwa wakati kwa baadhi ya ahadi za serikali katika elimu. Ripoti ya UWEZO, 2015, inaonesha kuwa baadhi ya watoto wa darasa la saba hawawezi kufanya majaribio ya darasa la Pili na wanafunzi wanne kati ya kumi (44%) hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya kiwango cha darasa la pili.

Mazingira ya Maeneo Wanayoishi Walimu
Mazingira ya Maeneo Wanayoishi Walimu
Utafiti huu uliangalia nyanja mbalimbali zinazoweza kuchangia kuboresha au kudidimiza hali ya maisha na kazi ya walimu.Hii ilikuwa ni pamoja na:mzigo wa kazi ya ufundishaji,uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu mmoja,maendeleo ya walimu kataaluma,athari za UKIMWI katika kufundisha na kujifunza,maisha ya walimu pamoja na maslahi ya walimu.
Annual Report 2017
Annual Report 2017

In 2017, HakiElimu started to implement its new five year Strategic Plan that aims at addressing challenges in the education system including violence against children in schools, lack of inclusion and increasing girl’s retention, transition and access to education. The 2017 Annual Report summarises the key Programmatic and organisational achievements and challenges in implementing the first year of our five-years Strategic Plan 2017–2021 which encompasses three Programmatic outcomes and 1 organisational outcome: