Uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana Katika Mchakato wa Kidemokrasia
Utafiti uliofanywa na asasi ya kiraia ya HakiElimu umeonesha kuwa sehemu kubwa ya walimu ambao wanafundisha somo la uraia hawana maarifa stahiki yanayowawezesha kuwafundisha na kuwaaandaa vijana ngazi ya sekondari katika kuelewa maana ya siasa safi na umuhimu wa ushiriki…